Zuchu and Diamond Platnumz LyricsInama, Zuchu’s newest song, with Diamond Platnumz, is a collaboration that promises to get you moving, read the lyrics and sing along.
Inama Cover ArtZuchu & Diamond Platnumz – Inama Lyrics
Gogu!
Maga
Ni Zuchu
Chu chu chu
Lizer classic
Waiteni wambea
Wa kusini na mashariki
Waje kuona
Bado niko nawee!
Waliongea, eti mbali si hatufiki
Ikiwachoma, wakameze mawe
Kwako chonjo (chonjo)
Mi naona kengeza
Yaani uhondo, unavyonikoleza…
Wanatapika nyongo
Penzi Hawajaliweza
Nakusifu kibongo
Nakusifu kingereza
Muchuchu muchuchu
Shweet shweet banana
Punga mkono juu
Nakuomba babay simama
Leo yako sikukuu
Nikupakulie minyama
Upite na huku
Wasokupenda uwakere sana
Uniijie kwa mbwembwe
Unainama, waonyeshe
Unainuka (mama), unaigusa
Afu kama unashuka
Iongezee na njonjo
Unainama, ah! Madegezyee!
Unainuka (ai we! we! we!)
Unaigusa (agha!)
Afu kama unashuka
Oh! baby A, E, I
Malizia O, U
Eh! Mwenzio pwa, pwe mi, boya tuuu
I know you love me, I love you, too
Nisipokuona ta, te, ti, presha juu
Nimegundua, kwanini wananuna
Ma-ex zako, nakunichukia
Maana unajua, aapi pa kukuna
Kwa kazi yako, unanipatia
Muchuchu muchuchu
Shweet shweet banana
Punga mkono juu
Nakuomba babay simama
Leo yako sikukuu
Nakupakulia minyama
Ebu njoo.. Kwa huku
Ringa jishaue bana
Tena ntilie mimbwembwe
Unainama, eh! Nikomeshe
Unainuka (mama), unaigusa
Afu kama unashuka
Iongezee na njonjo
Unainama, ah! Madegezyee!
Unainuka (ai we! we! we!)
Unaigusa (agha!)
Afu kama unashuka
Check Lyrics of latest songs here, and get fresh updates as they drop via X and Facebook