Sasampa Lyrics by Diamond Platnumz

TribeNews
3 Min Read

Diamond Platnumz Lyrics

Tanzanian singer and songwriter is back with a new upbeat track expected to become a club anthem across East Africa. Titled Sasampa, a Swahili slang term for money, the song marks yet another hit release from the artist.

- Advertisement -

Read and enjoy Sasampa Lyrics by Diamond Platnumz:

Intro
Ey Ey Ey Man Ey Man
Ey Ey Ey Man Ey Man
Ey Ey Ey Man Ey Man
Ey Ey Ey Man Ey Man
Ey Ey Ey Man Ey Man

- Advertisement -

Verse 1
Oya we tia hela tia hela tia hela
Tia hela
Usipeleke maua, tia hela, tia hela (usipeleke)
Tia hela (usiongee ongee)
Tia hela tia

Chorus
Toa sasampa sasampa sasampa
Sasampa sasampa sasampa
Sasampa sasampa sasampa
Sasampa sasampa sasampa
Sasampa sasampa sasampa

- Advertisement -

Verse 2
Eeeh mkono mtupu afu huwaga haulambwagi
Penzi chukuchuku aku bwana halinogagi
We unapenda uchu alafu kuhonga hauongagi
Eti nipe kiduchu, mmhh hebu acha unyonyaji

Oya toa hela sio ngonjera, watoto wazuri wanataka cheda
Na sio kumbwela, kutela tela
Maneno neno mengi kama Zembwela

Chorus
Oya we tia hela tia hela tia hela
Tia hela
Usipeleke maua, tia hela, tia hela (usipeleke)
Tia hela (usiongee ongee)
Tia hela tia

- Advertisement -

Toa sasampa sasampa sasampa
Sasampa sasampa sasampa
Sasampa sasampa sasampa
Sasampa sasampa sasampa
Sasampa sasampa sasampa

Verse 3
Auzwege powa powa vipi pozeza kila navo rafiki
Eeeh ayy ngelowanchichi
Wasolilimeli mali ay nkiki

Eeeh powa powa vipi pozeza kila navo rafiki
Eeeh ayy ngelowanchichi
Wasolilimeli mali ay nkiki

- Advertisement -

Chorus
Sasampa sasampa sasampa
Sasampa sasampa sasampa
Sasampa sasampa sasampa
Sasampa sasampa sasampa

Bridge / Outro
Silence Africa Sasampa Sasampa
Etombi mistracha ayatandi ugrasa
Kongi maali ingrenaa
Kolomanji siengala zin
Bolosa siezo zali manger
Ay maninongana sema busy busy spani
Money lachi kaizee

Sasampa sasampa
Kopizi mambara
Indombi uzandi ufunguye zimbalii

Chorus / Repeat
Oya we tia hela tia hela tia hela
Tia hela
Usipeleke maua, tia hela, tia hela (usipeleke)
Tia hela (usiongee ongee)
Tia hela tia

Toa sasampa sasampa sasampa
Sasampa sasampa sasampa
Sasampa sasampa sasampa
Sasampa sasampa sasampa
Sasampa sasampa sasampa

Get Fresh updates from NotJustOk as they drop via X and Facebook

Leave a Comment
Ads Blocker Image Powered by Code Help Pro

Ads Blocker Detected & This Is Prohibited!!!

We have detected that you are using extensions to block ads and you are also not using our official app. Your Account Have been Flagged and reported, pending de-activation & All your earning will be wiped out. Please turn off the software to continue

You cannot copy content of this app